Mwenda pole ,ako na speed governor.
2. Fahali wawili wakipigana, wa Ikolomani ndio hushinda
3. Usiuone wembamba wa reli ukadhani haiwezi n'golewa.
4. Palipo na kuku wengi hapakosi mluhya
5. Usipo ziba ufa ..mwisi iko chungulia
6. Palipo na wazee hakuna technology
7. Mtoto wa nyoka ni bureee buree tu buree kabisa!!
8. Asiyekubali kushindwa ni Raila
9. Chelewa chelewa, utahata news za saa moja
10. Mbio za sakafuni hazihitaji viatu mbio za siasa huishia State House
11. Anayefunzwa na ulimwengu hujua risasi si dengu
12. Hasira ya Jaluo furaha ya Mseveni
13. Ukistaajabu ya Musa hujayaona ya Mseveni
14. Dalili ya mvua ni mbio za watu wa Nairobi
15. Mgaagaa na upwa hula wali na mbwa
16. Mwenda Homabay na Rusinga, marejeo ni Migingo
some kiswahili (kenyan methali) The latest version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment