Gaddafi sio mwizi,alikuwa  anauza MAFUTA
pale Libya,sasa alikutiriwa akikojoa na hao
maaskari wa USA,sasa,kuona
... hatawagojea,akatoka bio,halafu
akapigwa  risasi,sa kupigwo
risasi,akauriwo...sasa kuuriwo,wakakuja
na ki2  inaitwa
BONOKO,wakamuekerea...hata juzi
wameua OSAMA na  wakamuekerea,huyo
sio mwizi..hata MUGABE atauriwa bure na
awekerewe BONOKO...Iyo ni buduki
fake,sasa kwao sijui..lakini  alikuwa
ananiuzia mafuta ya bao ya kumi..na hata
wa2 wa OILIBYA  wanamjua sio mwizi.
(Furahia maisha:)
 
No comments:
Post a Comment