BONOKO REMIX .....(Kare sana)

Gaddafi sio mwizi,alikuwa anauza MAFUTA
pale Libya,sasa alikutiriwa akikojoa na hao
maaskari wa USA,sasa,kuona
... hatawagojea,akatoka bio,halafu
akapigwa risasi,sa kupigwo
risasi,akauriwo...sasa kuuriwo,wakakuja
na ki2 inaitwa
BONOKO,wakamuekerea...hata juzi
wameua OSAMA na wakamuekerea,huyo
sio mwizi..hata MUGABE atauriwa bure na
awekerewe BONOKO...Iyo ni buduki
fake,sasa kwao sijui..lakini alikuwa
ananiuzia mafuta ya bao ya kumi..na hata
wa2 wa OILIBYA wanamjua sio mwizi.
(Furahia maisha:)

No comments:

Post a Comment

adsense