some kiswahili (kenyan methali) The latest versionMwenda pole ,ako na speed governor.

2.
Fahali wawili wakipigana, wa Ikolomani ndio hushinda

3.
Usiuone wembamba wa reli ukadhani haiwezi n'golewa.

4.
Palipo na kuku wengi hapakosi mluhya

5. Usipo ziba ufa ..mwisi iko chungulia

6. Palipo na wazee hakuna technology

7.
Mtoto wa nyoka ni bureee buree tu buree kabisa!!

8.
Asiyekubali kushindwa ni Raila

9.
Chelewa chelewa, utahata news za saa moja

10.
Mbio za sakafuni hazihitaji viatu mbio za siasa huishia State House

11. Anayefunzwa na ulimwengu hujua risasi si dengu

12.
Hasira ya Jaluo furaha ya Mseveni

13.
Ukistaajabu ya Musa hujayaona ya Mseveni

14.
Dalili ya mvua ni mbio za watu wa Nairobi

15.
Mgaagaa na upwa hula wali na mbwa

16.
Mwenda Homabay na Rusinga, marejeo ni Migingo

No comments:

Post a Comment

adsense